Adventist News

Is coming

Monday, September 20, 2010

Hatunaye Tena..! Pr.Joseph Shem Onyango 1936-2010


1Wakorintho 15:51-58
51Sikilizeni, nawaambia siri: sote hatutalala, lakini sote tutabadilishwa 52ghafla, kufumba na kufumbua, tarumbeta ya mwisho itakapolia. Kwa kuwa tarumbeta italia, wafu watafufuliwa na miili isiyoharibika, nasi tutabadilishwa. 53Kwa maana hali hii ya kuharibika lazima ivae kutokuharibika, na hali hii ya kufa lazima ivae hali ya kutokufa. 54Kwa hiyo, wakati kuharibika kutakapovaa kutokuharibika, na mwili wa kufa utakapovaa hali ya kutokufa, ndipo lile neno lililoandikwa litakapotimia, ``Kifo kimemezwa na ushindi .'' 55``Mauti, ushindi wako uko wapi? Na uchungu wako uko wapi?'' 56Uchungu wa kifo ni dhambi, na nguvu ya dhambi ni sheria. 57Lakini, Mungu ashukuriwe! Yeye anatupa tia ushindi kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.
58Kwa hiyo ndugu zangu, simameni imara. Msitikisike. Mzidi sana kujitoa kwa ajili ya kazi ya Bwana, kwa maana mnajua ya kuwa, juhudi yenu si bure katika Bwana.

No comments: