Adventist News

Is coming

Thursday, April 14, 2011

Sabato Maalum ya Wageni Kinondoni SDA Church

Kutakuwa na Sabato Maalum ya wageni tarehe 16/04/2011 katika kanisa la Waadventista wa Sabato Kinondoni.Nyoooote Mnaalikwa katika ibada hii ya pekee.Karibuni tushiriki pamoja katika kumwamudu Mungu,
KARIBU WEWE,RAFIKI YAKO NA JAMAA YAKO PIA!

Kwaya na Vikundi Mbalimbali Vitamtukuza Mungu,
TAFADHALI USIKOSE BARAKA HIZI ZA PEKEE ,MUNGU AKUBARIKI SANA!

No comments: